Events

Wiki ya nenda kwa Usalama iliadhimishwa kitaifa mkoa wa Arusha kuanzia tarehe 22/9/2014 hadi tarehe 27/9/2014. Baraza la Ushauri laWatumiaji lilishiriki kikamilifu. Siku ya kilele, tarehe 27/9/2014, Baraza lilizindua SUMATRA Consumer Students Clubs ambazo zimeundwa katika shule tano za MERU na ARUSHA school zikiwa shule za Msingi na THEMI, KALOLENI & ARUSHA SECONDARI zote tatu zikiwa shule za Sekondari.

Warsha ya Kamati za Baraza za Mikoa ya Tanga, Arusha, Mwanza, Kagera, na Kigoma ilifanyika katika ukumbi wa Tanga Resort tarehe 13/06/2013.

6

Chiku Gallawa – (Mkuu wa Mkoa wa Tanga)

8
9
7
13

Warsha ya wadau wa sekta ya usafirishaji wa mkoa wa Mbeya

HALI YA USAFIRI NA MIKAKATI YA KUBORESHA MKOA WA MBEYA Download File

HAKI NA WAJIBU WA MTUMIAJI – MBEYA. Download File

10
12
3
4
5
New-Picture-2-480x361

Wanafunzi wa shule mbalimbali wakiwa katika maandamano.

New-Picture-3-480x343
Askari wa kikosi cha usalama barabarani akiongoza maandamano katika kilele cha siku ya mtumiaji.

Powered by BIDC